NyumbaniHome / Maisha ShuleniSchool Life

Mazingira & HudumaCampus & Services

Shule ambayo mtoto anaipendaA school children love

Mazingira tulivu ya kijani, mabasi ya shule, maabara, bwawa la kuogelea, chakula na matukio yanayojenga kumbukumbu.

A calm green campus, school buses, laboratories, a swimming pool, meals and events that build memories.

Picha ya angani ya kampasi
Shule kutoka anganiThe campus from above

MazingiraCampus

Mbali na kelele, karibu na maumbileAway from noise, close to nature

Vivid iko Mbuzini, Kichungwani, eneo tulivu lililo mbali na barabara zenye kelele, ambapo mchakato wa kufundisha na kujifunza unasaidiwa kikamilifu na mazingira.

Vivid is at Mbuzini, Kichungwani, a quiet area away from noisy roads, where teaching and learning are fully supported by the environment.

Wanafunzi na basi la shule

Usafiri wa uhakikaReliable transport

Mabasi ya shule yanayowachukua na kuwarudisha wanafunzi. Ada ya usafiri kwa Msingi ni TSh 440,000 kwa mwaka.

School buses that take students to school and back. Primary transport is TSh 440,000 a year.

Maabara

Maabara za sayansiScience labs

Wanafunzi wanajifunza kwa kufanya, majaribio ya Kemia, Fizikia na Biolojia.

Students learn by doing, Chemistry, Physics and Biology experiments.

Bwawa la kuogelea

Kuogelea & michezoSwimming & sports

Bwawa la kuogelea, uwanja wa michezo na bustani ya watoto kwa afya na furaha.

A swimming pool, sports field and playground for health and happiness.

Bustani ya watoto

Bustani ya watotoPlayground

Mahali salama pa kucheza kwa watoto wadogo wa Baby class na Maandalizi.

A safe place to play for our youngest Baby class and Nursery children.

Watoto wakila chakula shuleni

Chakula shuleniSchool meals

Ada ya Msingi inajumuisha chakula, mtoto anakula pamoja na wenzake shuleni.

Primary fees include meals, children eat together with friends at school.

Mahafali

Mahafali & matukioGraduations & events

Mahafali, siku za wazazi na safari za kimasomo zinazowaunganisha wanafunzi, walimu na familia.

Graduations, parents' days and academic trips that bring students, teachers and families together.

UsalamaSafetyMazingira salama na uangaliziA safe, supervised environment
AfyaHealthMichezo na chakula boraSport and good food
ImaniFaithMadrasa na Qur'an kila sikuDaily madrasa and Qur'an
MawasilianoConnectionPortal ya wazazi mtandaoniAn online parent portal